Vitimbi vya Mama wa Kambo - Ally Yusufu Mugenzi - Boeken - Mkuki Na Nyota Publishers - 9789987084081 - 3 december 2020
Indien omslag en titel niet overeenkomen, is de titel correct

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Ally Yusufu Mugenzi

Prijs
€ 28,99

Besteld in een afgelegen magazijn

Verwachte levering 14 - 24 okt.
Voeg toe aan uw iMusic-verlanglijst

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40. Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.

Media Boeken     Paperback Book   (Boek met zachte kaft en gelijmde rug)
Vrijgegeven 3 december 2020
ISBN13 9789987084081
Uitgevers Mkuki Na Nyota Publishers
Pagina's 162
Afmetingen 129 × 198 × 10 mm   ·   149 g
Taal en grammatica Swahili